1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Siku ya Mazingira Duniani

Khelef Mohammed3 Juni 2022

Dunia inaadhimisha miaka 50 ya kutangazwa kwa Siku ya Mazingira Duniani ikiwa na kauli mbiu ile ile iliyotumika nusu karne iliyopita: “Dunia Moja Tu.” Lakini je, ni kweli kuwa mataifa yote yanakubaliana kwa kauli na vitendo kuwa sayari yetu ni moja tu na kwamba ikiangamia tunaangamia sote kwa pamoja? Mohammed Khelef anaongoza Meza ya Duara kutathmini miaka 50 ya ulinzi wa mazingira duniani.

https://p.dw.com/p/4CGUy