1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaAfrika

Talanta na elimu ipi muhimu katika kutafuta nafasi za ajira?

3 Mei 2024

Makala ya Vijana Mubashara inauliza je, kati ya talanta na elimu unafikiri ni kipi kinachostahili kuangaziwa zaidi katika kutoa nafasi za ajira hasa kwa vijana? Utawasikia vijana wakijadiliana kwa kina mada hii katika kipindi hiki. Jacob Safari amezungumza nao katika kipindi hiki cha vijana Mubashara, 77asilimia

https://p.dw.com/p/4fSiR

 

Kuongezeka kwa magenge ya kihalifu ya vijana katika baadhi ya nchi barani afrika kumezidi kuibua wasiwasi. Makundi hayo ya kihalifu  mara nyingi hufanya uporaji na kuwaumiza wananchi. Wengi wanasema hali ngumu ya kiuchumi ndio inachangia vijana kujitumbukiza katika magenge hayo.