JamiiAfrikaVyama vya wafanyakazi bado vinatimiza wajibu wake? To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrikaRashid Chilumba30.04.202430 Aprili 2024Kwa karne kadhaa vyama vya wafanyakazi vimekuwa nguzo za kutetea maslahi yao mbele ya waajiri. Iwe ni mishahara, pensheni na marupurupu mengine. Lakini hivi sasa bado vinatimiza wajibu huo kikamilifu? Sikiliza maoni kutoka Arusha, Tanzania. https://p.dw.com/p/4fMftMatangazo